Tony Yayo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marvin Bernard (Amezaliwa tar. 31 Machi 1978), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Tony Yayo, ni mwanamuziki wa rap kutoka nchini Marekani, pia ni mmoja kati ya mwanakundi la G-Unit.
| Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tony Yayo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |