Interscope Records
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Interscope Records | |
|---|---|
| Shina la studio | Universal Music Group |
| Imeanzishwa | 1990 |
| Mwanzilishi | Jimmy Iovine Ted Field Tom Whalley |
| Ilivyo sasa | Inafanya kazi |
| Usambazaji wa studio | Interscope-Geffen-A&M (US) Polydor Records (UK) |
| Aina za muziki | Mbalimbali |
| Nchi | Marekani |
| Mahala | Santa Monica, California |
| Tovuti | http://interscope.com/ |
Interscope Records ni studio ya muziki ya Kimarekani, inayomilikiwa na studio ya Universal Music Group, na ikiwa inafanyakazi kama moja kati ya mastudio matatu ya UMG - Interscope-Geffen-A&M. Studio ilianzishwa mnamo mwaka wa 1990.
Yaliyomo |
[hariri] Historia
[hariri] Hapo awali
Interscope ilianzishwa mnamo mwaka wa 1990 na Bw. Jimmy Iovine, Ted Field, na Tom Whalley kwa msaada wa kifedha uliotolewa na studio ya Atlantic Records (ambayo ilikuwa inachukua asilimia 50 ya mapato ya studio).
Wakati studio inaanza kazi zake, mwanzoni zilikuwa zikisambazwa na Atlantic Records ikiwa chini ya East West Records ya Amerika.
Studio kwa mara ya kwanza ilitoa kazi ya rapa wa Kilatini-Gerardo, ambaye alishinda tano bora, kwa kibao chake mahili cha "Rico Suave" kunako mwaka wa 1991.
Mafanikio mengine ya awali na baadaye, ni pale walipotoa albamu ya kwanza ya Marky Mark and the Funky Bunch, ambayo ilikwenda moja kwa moja katika platinam za mwanzoni mwa mwaka wa 1992. Wakati wa kipindi hicho, Interscope pia ikaingia mkataba na baadhi ya wasanii wa rap na hip hop kama vile Tupac Shakur, Primus, No Doubt na Nine Inch Nails."[1]
[hariri] Wasanii wa Interscope
[hariri] Studio ambazo ziko chini ya Interscope
- A&M Records Tovuti Rasmi - A&M Records, Tovuti Rasmi (moja ya sehemu ya Universal Music Group)
- A&M/Octone Records Tovuti Rasmi - A&M/Octone Records, Tovuti Rasmi
- Cherrytree Records Tovuti Rasmi - Cherrytree Records, Tovuti Rasmi
- Aftermath Records Tovuti Rasmi - Aftermath Records, Tovuti Rasmi
- G-Unit Records Tovuti Rasmi - G-Unit Records, Tovuti Rasmi
- Mosley Music Group Tovuti Rasmi - Mosley Music Group, Tovuti Rasmi
- Shady Records Tovuti Rasmi - Shady Records, Tovuti Rasmi
- Tennman Records Tovuti Rasmi - Tennman Records, Tovuti Rasmi
[hariri] Tazama pia
[hariri] Marejeo
- ↑ Ice Cube – Child Support Lyrics. LyricsDomain. Accessed March 25 2008.