Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Mwalimu Kambarage Nyerere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa ndege Dar 2007.JPG

Kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julius Nyerere mjini Dar es Salaam ni kiwanja cha ndege kikubwa na muhimu zaidi nchini Tanzania. Kipo kilomita 12 kutoka kitovu cha jiji upande wa kusini magharibi.

Abiria 1,011,392 walipita humo mwaka 2004. Kuna barabara kubwa ya ndege yenye urefu wa mita 3,000 na nyingine ya mita 1,000.

[hariri] Makampuni ya ndege yanayohudumia kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Dar es Salaam

[hariri] Viungo vya nje