Uwanja wa ndege wa Mwanza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Mwanza ni uwanja mkubwa wa ndege kwa miji ya karibu na nchi za jirani iliyoko jijini la Mwanza nchini Tanzania (IATA: MWZICAO: HTMW). Uwanja huu ni kitovu kikuu cha Auric Air na Delavia- Far East Airways, na pia kitovu kidogo kwa aajili ya Precision Air na Air Tanzania

Mwanza Airport
Uwanja wa ndege wa Mwanza
IATA: MWZICAO: HTMW
MWZ is located in Tanzania
MWZ
MWZ
Location of Airport in Tanzania
Muhtasari
Aina Public
Mmiliki Tanzania Airports Authority
Operator Tanzania Airports Authority
Serves Mwanza City, Tanzania
Mahali Mwanza, Tanzania
juu ya UB 3,763 ft / 1,134 m
Tovuti www.taa.go.tz
Runways
Mwelekeo Urefu Barabara
ft m
12/30 10,827 3,300 Asphalt
Takwimu (2007)
Passenger Movement 234,870
Cargo Movement 4,983 Tonnes



Yaliyomo

[hariri] Kampuni ya Ndege, Na mwisho wa safari

[hariri] Yabebayo Abiria

Kampuni ya ndege Mwisho wa safari
Air Tanzania Arusha, Dar Es Salaam, Kigoma
Auric Air Bukoba, Tabora, Rubondo, Dar es salaam, Mbeya, Iringa, Kigoma, Songea
Coastal Aviation Arusha, Dar es Salaam, Fort Ikoma, Grumeti, Kigali, Klein's Camp, Kogatende, Lobo, Manyara, Ngorongoro, Pemba, Sasakwa, Seronera, Southern Serengeti, Tanga, Tarime, Zanzibar
Delavia - Far East Airways Bukoba, Karasabai, Kigoma
Fly540 Bujumbura, Dar es Salaam, Kilimanjaro, Nairobi-Jomo Kenyatta, Zanzibar
JetLink Express Dar es Salaam [expected], Kisumu, Mombasa [expected], Nairobi-Jomo Kenyatta
Kenya Airways Kilimanjaro, Nairobi-Jomo Kenyatta [all codeshare flights (with Precision Air)]
Kilwa Air Bukoba, Entebbe
Precision Air Bukoba, Dar es Salaam, Entebbe, Kigoma, Kilimanjaro, Musoma, Nairobi-Jomo Kenyatta, Shinyanga

[hariri] Yabebayo Mzigo

Kampuni ya ndege Mwisho wa safari
Astral Aviation Nairobi-Jomo Kenyatta
Avia Traffic Company Dar es Salaam

[hariri] Marejeo


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uwanja wa ndege wa Mwanza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine