Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere)
| Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Kiingereza: Julius Nyerere International Airport |
|||
|---|---|---|---|
| IATA: DAR – ICAO: HTDA – WMO: 63894 |
|||
| Muhtasari | |||
| Aina | Matumizi ya Umma | ||
| Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
| Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
| Mahali | Dar es Salaam, Tanzania | ||
| Kitovu cha | |||
| Mwinuko Juu ya UB |
182 ft / 55 m | ||
| Anwani ya kijiografia | |||
| Tovuti | |||
| Ramani | |||
| Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
| Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
| Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara |
|
| m | ft | ||
| 05/23 | 3,000 | 9,843 | Lami |
| 14/32 | 1,000 | 3,281 | Lami |
| Takwimu (2011) | |||
| Idadi ya abiria | |||
| Harakati za ndege | |||
| Tani za mizigo | |||
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (IATA: DAR, ICAO: HTDA) mjini Dar es Salaam ni kiwanja cha ndege kikubwa na muhimu zaidi nchini Tanzania. Kipo kilomita 12 kutoka kitovu cha jiji upande wa kusini magharibi.
Abiria 1,011,392 walipita humo mwaka 2004. Kuna barabara kubwa ya ndege yenye urefu wa mita 3,000 na nyingine ya mita 1,000.
Makampuni ya ndege na vifiko [hariri]
- Air India (Nairobi, Mumbai)
- Air Malawi (Blantyre, Lilongwe)
- Air Tanzania (Comoros, Entebbe, Johannesburg, Kilimanjaro, Zanzibar)
- Air Zimbabwe (Harare, Nairobi)
- British Airways (London-Heathrow)
- Emirates (Dubai, Nairobi)
- Ethiopian Airlines (Addis Ababa)
- Kenya Airways (Nairobi)
- KLM (Amsterdam)
- Precision Air (Arusha, Bukoba, Kigoma, Kilimanjaro, Mombasa, Musoma, Mwanza, Nairobi, Shinyanga, Tabora, Zanzibar)
- Qatar Airways (Doha)
- South African Airways (Johannesburg)
- Swiss International Air Lines (Nairobi, Zürich)
- Regional Air Services, (Arusha)
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
|
|||||||||||