Air Tanzania
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| 250px | ||||
|
||||
| Kimeanzishwa | 1977 | |||
|---|---|---|---|---|
| Hubs | Julius Nyerere International Airport | |||
| Ndege zake | 3 | |||
| Shabaha | ||||
| Nembo | Wings of Kilimanjaro | |||
| Parent company | Serikali ya Tanzania | |||
| Makao makuu | Dar es Salaam, Tanzania | |||
| Watu wakuu | David Mattaka (MD), (CEO) | |||
| Tovuti | http://www.airtanzania.com | |||
Air Tanzania ni kampuni ya ndege ya taifa la Tanzania. Shirika la Ndege la Tanzania linahudumia vituo vinane - vitano ndani ya nchi na vituo vitatu vya kimataifa. Dar es Salaam hutumika kama kiungio cha safari za anga kati ya viwanja vya ndege vya Entebbe, Hahaya, Johannesburg, Mwanza, Kilimanjaro, Mtwara na Zanzibar. Inatua Dar es salaam, na ndege zote za Air Tanzania zinafungwa hapo.
Viungo vya nje [hariri]
- tovuti rasmi ya kampuni ya Air Tanzania
- Ndege zinazotumiwa na Air Tanzania
- Picha za ndege za Air Tanzania
- Uhakiki ulioandikwa kuhusu Air Tanzania
| Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Air Tanzania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |