Uwanja wa ndege wa Arusha
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Uwanja wa ndege wa Arusha Kiingereza: Arusha Airport |
|||
|---|---|---|---|
| IATA: ARK – ICAO: HTAR – WMO: 63789 |
|||
| Muhtasari | |||
| Aina | Matumizi ya Umma | ||
| Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
| Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
| Mahali | Arusha, Tanzania | ||
| Kitovu cha | Air Excel Regional Air |
||
| Mwinuko Juu ya UB |
4,550 ft / 1,387 m | ||
| Anwani ya kijiografia | |||
| Ramani | |||
| Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
| Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
| Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara |
|
| m | ft | ||
| 09/27 | 1,620 | 5,315 | Lami |
| Takwimu (2004) | |||
| Idadi ya abiria | 87,252 | ||
Uwanja wa ndege wa Arusha (IATA: ARK, ICAO: HTAR) ni kiwanja cha ndege cha Arusha, Tanzania.
Abiria 87,252 walipita humo mwaka 2004.
Makampuni ya ndege na vifiko [hariri]
| Makampuni ya ndege | Vifiko |
|---|---|
| Precision Air | Zanzibar, Dar es Salaam |
| Regional Air Services | Kilimanjaro, Manyara |
| Air Excel Ltd | Manyara, Zanzibar, Seronera, Grumeti |
| ZanAir | Zanzibar |
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
|||||||||||
| Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |