Air Zimbabwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Nembo ya Air Zimbabwe

Air Zimbabwe ni ndege ya kitaifa ya nchi ya Zimbabwe illiyo na makao yake kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harare mjini Harare.ref>78.</ref> Inahudumu ndege za kwenda Afrika Kusini, Asia na London Gatwick.

Yaliyomo

[hariri] Historia

Ndege hii ilianzishwa mnamo Septemba 1, 1967.[1] Ilianza kusafiri hadi London Gatwick kuanziaAprili 2, 1980. Kampuni hii inamilikiwa na serikali.

Air Zimbabwe aina ya 707 Z-WKT (kulia) na 737-200 Z-NAL kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Harare, 1987
Air Zimbabwe aina ya 767-2N0ER Z-WPF.

Kwa ajili ya madeni mengi, Air Zimbabwe ilitolewa kwenye kundi la IATA mnamo Februari 2004. Mnamo Aprili 2006, namba ya wasafiriwa ilishuka kutoka milioni moja (1999) hadi 230,000 (2005). Mnamo Oktoba 2006, wakati bei ya vitu ilipanda nchini Zimbabwe, Benki Kuu ya Zimbabwe ilitangaza kuwa haitaendelea kuwasaidia Air Zimbabwe pamoja na kampuni zingine zinazoleta hasara.[2]

[hariri] Miji inayosafiria

[hariri] Afrika

[hariri] Asia

[hariri] Uropa

[hariri] Marejeo

  1. Air Zimbabwe Website
  2. BBC23 October 2006

[hariri] Viungo vya nje

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine