Nenda kwa yaliyomo

Kima (kabila)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Cercopithecini)
Kima
Kima mwekundu
Kima mwekundu
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu: Cercopithecoidea
Familia: Cercopithecidae
Nusufamilia: Cercopithecinae (Wanyama walio na mnasaba na kima)
Kabila: Cercopithecini (Kima)
Jenasi: Allenopithecus Lang, 1923

Cercopithecus Linnaeus, 1758
Chlorocebus Gray, 1870
Erythrocebus Trouessart, 1897
Miopithecus I. Geoffroy, 1842

Kima ni wanyama wa kabila Cercopithecini katika familia Cercopithecidae. Spishi za jenasi Chlorocebus huitwa ngedere au tumbili kwa kawaida. Wanatokea Afrika chini ya Sahara, lakini spishi kadhaa zimewasilishwa katika sehemu nyingine za dunia.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.