Ngedere
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Mandhari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Chlorocebus)
Ngedere | ||||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Ngedere mashariki (Chlorocebus pygerythrus)
| ||||||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||||||||
Spishi 6:
|
Ngedere au tumbili ni aina za kima wa jenasi Chlorocebus katika familia Cercopithecidae. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara, lakini spishi kadhaa zimewasilishwa katika sehemu nyingine za dunia.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Chlorocebus aethiops, Ngedere Habeshi (Grivet)
- Chlorocebus cynosuros, Ngedere wa Kongo (Malbrouck Monkey)
- Chlorocebus djamdjamensis, Ngedere wa Bale (Bale Monkey)
- Chlorocebus pygerythrus, Ngedere Mashariki (Vervet)
- Chlorocebus sabaeus, Ngedere Magharibi (Green Monkey)
- Chlorocebus tantalus, Ngedere wa Afrika ya Kati (Tantalus Monkey)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Ngedere Habeshi
-
Ngedere wa Kongo
-
Ngedere mashariki
-
Ngedere magharibi
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ngedere&oldid=1022090"