Bud Spencer
Bud Spencer | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Carlo Pedersoli |
Alizaliwa | 31 Oktoba 1929 |
Kafariki | 27 Juni 2016 (miaka 86) |
Jina lingine | Bud Spencer |
Kazi yake | wakili, muimbaji, muigizaji |
Bud Spencer (jina la kiraia: Carlo Pedersoli; 31 Oktoba 1929 - 27 Juni 2016) alikuwa muigizaji maarufu wa filamu za Kiitalia,
Anafahamika kwa urefu wake wa cm 194 na pia alicheza katika baadhi ya filamu za Spaghetti Westerns. Spencer alikuwa na mafanikio sana kwa kuwa enzi ya ujana wake alikuwa muogeleaji mzuri wa maji, na pia alifaulu digrii ya sheria hata akajisajili na leseni mbalimbali kama mwanasheria.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Bud Spencer alizaliwa kama Carlo Pedersoli mjini Napoli (mtaa wa Santa Lucia). Spencer alimuoa Maria Amato mwaka 1960; kwa pamoja wamezaa watoto watatu: Giuseppe (alizaliwa 1961), Christine (alizaliwa 1962) na Diamante (aliyezaliwa 1972).
Spencer alianzisha kampuni ndogo ya uchukuzi wa mizigo, hasa katika viwanja vya ndege, kampuni ilijulikana kama Mistral Air mnamo 1984, lakini baadae aliachana nayo na kwenda kununua kampuni ya kutengeneza nguo za watoto.
Shughuli za uigizaji
[hariri | hariri chanzo]Bud Spencer katika filamu zake za awali alikuwa akiigiza kama moja kati ya walinzi wa falme la Praetoria, katika filamu ya Quo Vadis, ni filamu iliochezwa nchini Italia, mnamo mwaka 1951.
Kwenye miaka ya 1950 hadi miaka ya 1960, Spencer ameonekana katika baadhi ya filamu za kiitalia, lakini bado kazi zake zilikuwa zina ushindani mdogo hadi kufikia mwishoni mwa miaka ya 1960.
Spencer baadae akakutana na mwigizaji filamu mmoja aitwaye Terence Hill, ambaye kwa pamoja wakafanya filamu nyingi tu za Western ya Italia, maarufu kama spaghetti western, na nyingine nyingi, zikiwemo zile walizokuwa wakiziita kwa jina la kimarekani; filamu hizo ni kama zifuatavyo:
- God Forgives... I Don't! (1967)
- Ace High (1968)
- Boot Hill (1969)
- They Call Me Trinity (1970)
- Blackie the Pirate (1971)
- Trinity Is STILL My Name! (1971)
- All the Way, Boys! (1972)
- Watch Out, We're Mad (1974)
- Two Missionaries (1975)
- Crime Busters (1976)
- Odds and Evens (1978)
- I'm For the Hippopotamus (1979)
- Who Finds a Friend, Finds a Treasure (1981)
- Go For It! (1983)
- Double Trouble (1984)
- Miami Supercops (1985)
- Troublemakers (1994)
Filamu nyingi za aina hii zilikuwa na majina mawilimawili, maana ilikuwa inategemea na nchi yenyewe au msambazaji mwenyewe vile apendavyo. Baadhi zilitolewa katika muundo wa lugha ya Kiitalia na kubadilishwa au kutafsriwa kwa lengo la kwenda kuuza nchi za nje.
Filamu za namna hiyo zilileta mkusanyiko mkubwa wa wagizaji wa filamu kutoka nchi mbalimbali hasa zile za nchi za Ulaya. Kwa mujibu wa IMDB waigizaji hao wa filamu za Kiitalia ambao si wa Italia wametengeneza takribani filamu 19.
Hizo filamu zilizodi (Mbali na zilizorodheshwa hapo juu) Upo uwezekano mkubwa wa kuwa na matoleo mawili ya Kijerumani ya filamu ya "God Forgives... I Don't!" na "Boot Hill" ambayo ilimalizaliwa kabisa, kukata baadhi ya vipande na kuweka jina jipya ili iweze kusukumwa haraka sokoni.
Filamu alimocheza
[hariri | hariri chanzo]- Padre Speranza (2005) (English title: Father Hope) (TV) .... Padre Speranza
- Cantando dietro i paraventi (2003) (English title: Singing Behind Screens) .... Il vecchio capitano
- Tre per sempre (2002) (English title: 3 - 4 Ever).... Bops
- Hijos del viento (2000) (English Title: Sons of the wind).... Quintero
- Al limite (1997) (English title: To the Limit).... Elorza
- Fuochi d'artificio (1997)(English title: Fireworks) .... The blind singer
- Noi siamo angeli (1997) (English title: We are Angels) (mini) TV Series .... Orso
- Botte di Natale (1994)(English title: The Night Before Christmas; also called "The Troublemaker") .... Moses
- Extralarge (1990 - 1993) (TV Series) .... Jack 'Extralarge' Costello
- Big man (1988 - 1989) (TV Series) .... Jack Clementi
- Superfantagenio (1986) (USA title: Aladdin) .... Genie
- Miami Supercops (1985) .... Steve Forest
- Non c'è due senza quattro (1984) (English title: Double Trouble) .... Greg Wonder/Antonio Coimbra de la Coronilla y Azevedo
- Nati con la camicia (1983) (English title: Go for it) .... Doug O'Riordan alias Mason
- Bomber (1982) .... Bud Graziano
- Banana Joe (1982) .... Banana Joe
- Cane e gatto (1982) (English title: Cat and Dog).... Sergeant Parker
- Chi trova un amico, trova un tesoro (1981) (English title: A friend is a treasure) .... Charlie O'Brien
- Occhio alla penna (1981) (English title: Buddy goes West).... Buddy
- Chissà perché... capitano tutte a me (1980) (English title: Everything Happens to Me).... Sheriff Hall
- Io sto con gli ippopotami (1979) (English title: I'm for the Hippopotamus).... Tom
- Piedone d'Egitto (1979) (English title: Flagfoot in Egypt).... Inspector Rizzo
- Sceriffo extraterrestre - poco extra e molto terrestre, Uno (1979) (English title: E.T. and the Sheriff or The Sheriff and the Satellite Kid).... Sceriffo Scott (Sheriff Hall)
- Pari e dispari (1978) (English title: Trinity: Gambling for High Stakes) .... Charlie Firpo
- Lo chiamavano Bulldozer (1978) (English title: Uppercut) .... Bulldozer
- Piedone l'africano (1978) (English title: Knock-Out Cop).... Rizzo
- Charleston (1977) .... Charleston
- Il Soldato di ventura (1976) (English title: Soldier of Fortune).... Hector Fieramosca
- I Due superpiedi quasi piatti (1976) (English title: Crime Busters).... Wilbur Walsh
- Piedone a Hong Kong (1975) (English title: Flatfoot in Hong Kong).... Inspector 'Flatfoot' Rizzo
- Altrimenti ci arrabbiamo (1974) (English title: Watch Out, We're Mad).... Ben
- Porgi l'altra guancia (1974) (English title: Turn the Other Cheek) .... Father/Padre Pedro
- Piedone lo sbirro (1973) (English title: A Fistful of Hell) .... Inspector 'Flatfoot' Rizzo
- Anche gli angeli mangiano fagioli (1973) (English title: Even Angels Eat Beans).... Charlie Smith
- Una Ragione per vivere e una per morire (1972) (English title: A Reason to Live, a Reason to Die).... Eli Sampson
- Si può fare... amigo (1972) (English title: Bulldozer Is Back Amigo) .... Hiram Coburn
- Più forte, ragazzi! (1972) (English title: All the way boys) .... Salud
- Torino nera (1972) (English title: Black Turin) .... Rosario Rao
- ...continuavano a chiamarlo Trinità (1971) (English title: Trinity Is STILL My Name!).... Godfrey 'God'
- Il Corsaro nero (1971) (English title: Blackie the Pirate) .... Skull
- Lo chiamavano Trinità (1970) (English title: My Name Is Trinity).... Bambino
- La Collina degli stivali (1969) (English title: Boot Hill).... Hutch Bessy
- Un Esercito di cinque uomini (1969) (English title: The Five Man Army).... Mesito
- Dio è con noi (1969) (English title: Crime of Defeat).... Cpl. Jelinek
- I Quattro dell'Ave Maria (1968) (English title: Ace High).... Hutch Bessy
- Al di là della legge (1968) (English title: Beyond the law).... James Cooper
- Oggi a me... domani a te! (1968) (English title: Today it's me).... O'Bannion
- Dio perdona... Io no! (1967) (English title: Blood River).... Hutch Bessy
- Annibale (1960) (English title: Hannibal) (as Carlo Pedersoli)
- A Farewell to Arms (1957) (as Carlo Pedersoli) .... Carabiniere
- Cocco di mamma, Il (1957) (English title: Mamma's boy)(as Carlo Pedersoli) .... Oscar
- Un Eroe dei nostri tempi (1955) (English title: A hero of our times) (as Carlo Pedersoli) .... Fernando
- Siluri umani (1954) (English title: Human Torpedoes) (as Carlo Pedersoli) .... Magrini
- Quo Vadis (1951) (as Carlo Pedersoli) .... Imperial Guard
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Budterence.it Bud Spencer & Terence Hill Italian Website
- Budterence.tk
- "Berlusconi picks film cowboy as his sidekick" Ilihifadhiwa 8 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- telegraph.co.uk Ilihifadhiwa 25 Januari 2018 kwenye Wayback Machine.
- spencerhill.de