Ziwa Galilaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ziwa Galilaya
Picha:File:Kineret (Mar da Galiléia) P1090310 (5151207637).jpg
Mito ya kuingia Mto Yordani na makorongo kadhaa[1]
Mito ya kutoka Mto Yordani na uvukizaji
beseni 2,730 km2 (1,050 sq mi)[2]
Nchi za beseni Palestine, Syria, Lebanon, Israel
Urefu 21 km (13 mi)
Upana 13 km (8.1 mi)
Eneo la maji 166 km2 (64 sq mi)
Kina cha wastani 25.6 m (84 ft)
Kina kikubwa 43 m (141 ft)
Mjao 4 km3 (0.96 cu mi)
Muda wa maji kukaa ziwani miaka 5 years year
Urefu wa pwani (km) 53 km (33 mi)
Kimo cha uso wa maji juu ya UB -212.07 m (695.8 ft)
Visiwa 2[Insiyokaminika]
Miji mikubwa ufukoni Tiberias, Tel Katzir
Marejeo [1][2]
1 Shore urefu is not a well-defined measure.
Ziwa kutoka angani.
Ramani ya Ziwa Galilaya kuhusiana na Bahari ya Chumvi.

Ziwa Galilaya, pia Kinneret, Ziwa la Genesareti, au Ziwa la Tiberia (kwa Kiebrania יָם כִּנֶּרֶת, kwa Kiarabu بحيرة طبريا) ni ziwa lenye umbo la yai kaskazini mwa Israeli. Ni kama kilomita 53 kwa 21 kwa 13.

Eneo linafikia pengine kilomita mraba 166.7 na kina chake mita 43.[3]

La pekee ni kwamba liko chini ya usawa wa bahari (mita 209-215),[4] hivyo ni ziwa la maji baridi lililoko chini kuliko yote duniani. Bahari ya Chumvi tu liko chini zaidi.[5]

Maji yake yanategemea kwa kiasi kikubwa mto Yordani ambao unaingia kaskazini na kutoka tena kusini mwa ziwa hilo.

Umaarufu wa ziwa hilo unatokana hasa na Yesu kulitembelea na kulivuka mara nyingi, inavyoelezwa na Injili zote nne.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Mandhari yote ya ziwa
Upande wa kusini

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Aaron T. Wolf, Hydropolitics along the Jordan River, United Nations University Press, 1995
  2. 2.0 2.1 Exact-me.org
  3. Data Summary: Lake Kinneret (Sea of Galilee). Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-02-03. Iliwekwa mnamo 2016-11-17.
  4. Kinneret - General (hebrew). Israel Oceanographic & Limnological Research Ltd.
  5. The 1996-discovered subglacial Lake Vostok challenges both records; it is estimated to be 200 m (660 ft) to 600 m (2,000 ft) below sea level.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons

Wikivoyage-Logo-v3-icon.svg Ziwa Galilaya travel guide kutoka Wikisafiri

Bible.malmesbury.arp.jpg Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ziwa Galilaya kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.