Zama za Dhahabu za Katuni za Marekani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Katuni ya Felix The Cat

Zama za Dhahabu ya Katuni za Marekani (kwa Kiingereza: The Golden Age of U.S. Animation) ni kipindi cha historia ya katuni za huko Marekani ambacho kilianza na majilio ya katuni za sauti mnamo 1928, ikiwa na kilele cha upili baina nusu ya miaka ya 1930 na nusu ya kwanza ya miaka ya 1940, na kiliendelea hadi mwanzoni mwa miaka ya 1960 wakati tamthilia za katuni fupi zimeanza kupoteza umaarufu kutokana na utaratibu mpya wa katuni za televisheni.

Wahusika wengi sana wa katuni wa kukumbukwa waliungana katika kipindi hiki. Wahusika hao ni pamoja na Mickey Mouse, Donald Duck, Bugs Bunny, Daffy Duck, Porky Pig, Popeye, Betty Boop, Woody Woodpecker, Chilly Willy, Mighty Mouse, Heckle and Jeckle, Mr. Magoo, Tom and Jerry, na igizo maarufu la Superman. Vipengele vya urefu wa katuni pia vilianza katika kipindi hiki, zilizojulikana zaidi ni zile filamu za kwanza za Walt Disney: Snow White and the Seven Dwarfs, Pinocchio, Fantasia, Dumbo na Bambi.

Miaka ya awali[hariri | hariri chanzo]

"Katuni ya kwanza ilitengenezwa huko Britania na Arthur Melvin Cooper mnamo 1899, amewafunga pamoja na kuanza kuwatembeza taratibu katika kila fremu." Soko la filamu lilikuja kupinduliwa na uanzishaji wa wa filamu za sauti, na ndani ya miaka miwili uvumbuzi huo ukaenea katika sekta ya filamu za katuni. Ingawa katuni ya kwanza kutumia maujanja ya sauti ilikuwa ile ya Max Fleischer, My Old Kentucky Home, mnamo 1926, Steamboat Willie ya Walt Disney (1928), mwonekano wa tatu wa Mickey Mouse, ulikuwa maarufu sana na ulipata mafanikio. Huhesabiwa kama iliyopata fedha nyingi kupindukia, Steamboat Willie ilipata mafanikio mazuri sana katika box-office, ilipendwa na wengi na kutoa cheche za umaarufu wa Disney.

Orodha ya kazi za Zama za Dhahabu za Katuni za Marekani[hariri | hariri chanzo]

Walt Disney Productions[hariri | hariri chanzo]

Warner Bros.[hariri | hariri chanzo]

Fleischer Studios/Famous Studios[hariri | hariri chanzo]

MGM[hariri | hariri chanzo]

Walter Lantz Productions[hariri | hariri chanzo]

Terrytoons[hariri | hariri chanzo]

Charles Mintz/Screen Gems (Columbia)[hariri | hariri chanzo]

UPA[hariri | hariri chanzo]

Wengineo[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Barrier, Michael (1999): Hollywood Cartoons. Oxford University Press.
  • Maltin, Leonard (1987): Of Mice and Magic: A History of American Animated Cartoons. Penguin Books.
  • Solomon, Charles (1994): The History of Animation: Enchanted Drawings. Outlet Books Company.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]