Tex Avery

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Frederick Bean "Fred / Tex" Avery (Februari 26, 1908 - Agosti 26, 1980) alikuwa mwigizaji , mchoraji, na mkurugenzi wa Marekani.

Yeye ni maarufu kwa kutengeneza katuni za ukaragushi wakati wa Golden Age ya Hollywood.

Alifanya kazi yake kuu zaidi kwa Warner Bros na studio ya Metro-Goldwyn-Mayer. Alitengeneza wahusika wa Porky Pig, Daffy Duck, Bugs Bunny, na Droopy.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tex Avery kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.