Bugs Bunny

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bugs Bunny
Bugs Bunny akitafuna karoti.
Mwonekano wa kwanza A Wild Hare (1940) (mwonekano kwanza rasmi)
Ameumbwa na Tex Avery (muhusika)
Ametiwa sauti na Mel Blanc (halisi)
Tazama Waliogiza sauti zake

Bugs Bunny ni mshindi wa Tuzo za Akademi, akiwa kama sungura-katuni bora aliyecheza kwenye mfululizo wa Looney Tunes na Merrie Melodies wa Warner Bros. Amejijengea umaarufu na kimsemo chake cha "What's up, Doc?" iliokuwa maarufu sana mwanzoni mwa miaka ya 1940.

Anaonekana kama muhusika matata sana, akiwa na karoti mdomoni mwake. Mgovi wake siku zote ni Daffy Duck, ambaye mara nyingi huzozananaye.

Soma zaidi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bugs Bunny kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.