Daffy Duck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daffy Duck
Daffy Duck
Daffy Duck katika seti ya Duck Amuck
Mwonekano wa kwanza Porky's Duck Hunt (1937)
Ameumbwa na Tex Avery
Bob Clampett
Ametiwa sauti na Mel Blanc (1937–1989)
Jeff Bergman (1990–1993)
Joe Alaskey (Bugs Bunny's Lunar Tunes, 1995–2016)
Dee Bradley Baker (Space Jam)

Daffy Duck ni jina la kutaja kikatuni kinachohusikana na mfululizo wa vikatuni vya Warner Brothers Looney Tunes na Merrie Melodies. Daffy alikuwa mbegu ya kwanza kuzaliwa katika mfululizo wa wahusika wa "screwball" ambao walikuwemo kunako miaka ya 1930 na mira za mtu kwa mtu, yaani, uhusika wa everyman, kama vile Mickey Mouse na Popeye, ambao wote walikuwa maarufu sana kwenye makumi hayo. Daffy anafahamika sana kwa kuwa rafiki mkubwa wa Bugs Bunny.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daffy Duck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.