Mel Blanc

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mel Blanc

Blanc mnamo 1976.
Amezaliwa Melvin Jerome Blank
30 Mei 1908
San Francisco, California, Marekani
Amekufa 10 Julai 1989
Los Angeles, California, Marekani
Kazi yake Mwigizaji wa sauti, Mburudishaji
Miaka ya kazi 1927–1989
Ndoa Estelle Rosenbaum (1933–1989)[1]
Watoto Noel Blanc

Melvin Jerome "Mel" Blanc (30 Mei 190810 Julai 1989) alikuwa mwigizaji wa sauti na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Ingawa alianza shughuli zake katika makumi sita yaliyopita akiwa kama mfanyakazi wa redio, Blanc anafahamika sana kwa kufanyakazi na Warner Bros. wakati wa zama ziitwazo "Zama za Dhahabu ya Katuni za Marekani" (na kisha baadaye alifanyakazi za matayarisho ya televisheni na Hanna-Barbera) akiwa kama mwigizaji wa sauti ya Bugs Bunny, Daffy Duck, Porky Pig, Sylvester the Cat, Beaky Buzzard, Tweety Bird, Foghorn Leghorn, Yosemite Sam, Wile E. Coyote, Barney Rubble, Mr. Spacely, na mamia wengine kadhaa. Ana jina la utani kama “Mtu Mwenye Maelfu ya Sauti,” Blanc anatazamika kama mmoja kati ya watu wenye athira kubwa ya kazi zake.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Estelle Z. Blanc. Social Security Death Index. Iliwekwa mnamo 2008-11-23. “Estelle Z. Blanc 12 Jul 1910 28 Feb 2003 (V) 90405 (Santa Monica, Los Angeles, CA) (none specified) 551-68-9122 California”[dead link]
  2. Mel Blanc's bio at Ochcom.org

Bibliografia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:



Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mel Blanc kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.