Uigizaji wa sauti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uigizaji wa sauti ni sanaa ya kutoa au kuigizia sauti ya uhusika wa katuni (ikiwemo na sauti za kwenye filamu, mfululizo wa televisheni, katuni fupifupi, na video games)redio na maigizo ya sauti na vichekesho, kufanyia sauti juu yake kwenye redio na televisheni, michezo ya redio, kuigizia sauti za washiriki wa kwenye filamu za lugha za kigeni, video games, maonyesho ya vikaragosi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Voice Acting - Creative Commons Audio

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uigizaji wa sauti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.