Warner Bros.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Warner Bros
Nembo ya Warner Bros.

Warner Bros. Entertainment, Inc. (pia inajulikana kama Warner Bros. Pictures, au rahisi zaidi Warner Bros. — kifupi cha jina rasmi la zamani ambalo bado hutumika Warner Brothers[1]) ni kampuni mojawapo kati ya watayarishaji wakubwa duniani wa filamu na burudani za televisheni.

Ni kundi kubwa la burudani, studio ya filamu na studio ya rekodi. Inamilikiwa na Time Warner.

Wanao hakimiliki ya mfululizo wa filamu wa Harry Potter, mfululizo wa filamu ya Batman, na mfululizo wa filamu ya Superman, DC Extended Universe.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Turner, Warner Brothers to launch channel in India. Business Standard (online) (Friday, Mar 06, 2009). Iliwekwa mnamo 2009-03-05.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Warner Bros. kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.