Looney Tunes
Mandhari
Looney Tunes ni mfululizo wa katuni uliozalishwa na Warner Bros. Ilikuwa mfululizo wa kwanza wa katuni za Warner Bros. uliotangulia mfululizo wa Merrie Melodies.
Jina la mfululizo ni tofauti kwenye Silly Symphonies, jina la mfululizo wa Walt Disney.
Kuanzia mwaka wa 1942 hadi 1969, Looney Tunes ulikuwa mfululizo maarufu zaidi wa za katuni katika sinema, hata kuliko filamu yoyote ya Disney.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Looney Tunes kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |