William Hanna
Mandhari
| William Hanna | |
|---|---|
| | |
| Jina la kuzaliwa | William Denby "Bill" Hanna |
| Alizaliwa | 14 Julai 1910 |
| Alikufa | 22 Machi 2001 |
| Nchi | Marekani |
| Kazi yake | Mwanakatuni Mtaarishaji Mwongozaji |
William Denby "Bill" Hanna (14 Julai 1910 – 22 Machi 2001) alikuwa mwundaji wa vikatuni, mwongozaji, mtaarishaji, na mwanzilishi-mshiriki, pamoja na Joseph Barbera, wa Hanna-Barbera studio kutoka nchini Marekani. Studio ya Hanna-Barbera imetaarisha katuni nyingi tu maarufu, ikiwemo ile ya The Huckleberry Hound Show, The Flintstones, The Jetsons, Scooby-Doo vile vile muziki wa filamu, Charlotte's Web.
Ona pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Hanna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |