Yohane Xenos
Mandhari
Yohane Xenos (kwa Kigiriki: Ἰωάννης Ξένος; 970 hivi - baada ya 1027) alikuwa mkaapweke asiye na makao, aliyeeneza umonaki na kujenga makanisa katika kisiwa cha Krete, leo nchini Ugiriki [1].
Aliandika habari za maisha yake, Bios kai politeia. [2]
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Oktoba[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/73330
- ↑ It survives in a 15th-century manuscript now in the Bodleian Library and the manuscript known as the Codex Cisamensis, copied in Crete in 1703. The Codex Cisamensis also contains a copy of John's will and testament.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Fiaccadori, Gianfranco (2000). "Testament of John Xenos for the Monastery of the Mother of God Antiphonetria of Myriokephala on Crete". Katika John Philip Thomas; Angela Constantinides Hero (whr.). Byzantine Monastic Foundation Documents: A Complete Translation of the Surviving Founders' Typika and Testaments. Juz. la 1. Dumbarton Oaks Research Library and Collection. ku. 143–147.
- Tsougarakis, Dimitris (1988). Byzantine Crete: From the 5th Century to the Venetian Conquest. Athens: Historical Publications St. D. Basilopoulos.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |