Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Ikungi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Wilaya ya Ikungi
Wilaya ya Ikungi is located in Tanzania
Wilaya ya Ikungi
Wilaya ya Ikungi

Mahali pa Ikungi katika Tanzania

Majiranukta: 5°8′8″S 34°46′15″E / 5.13556°S 34.77083°E / -5.13556; 34.77083
Nchi Tanzania
Mkoa Singida
Wilaya Wilaya ya Ikungi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 411,262

Wilaya ya Ikungi ni wilaya mojawapo kati ya 7 za mkoa wa Singida.

Katika sensa ya mwaka 2012, wilaya ilikuwa na jumla ya wakazi wapatao 272,959. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 411,262 [1].

Wakazi wa wilaya hiyo wanajishughulisha na kilimo, lakini kutokana na hali ya ukame mkoani Singida wakazi wa Ikungi hutegemea mazao yanayostahimili ukame, kama vile ulimaji wa alizeti, ulezi na viazi vitamu, na wachache hujihusisha na uvuvi, hasa katika bwawa la Muyanji.

Kata za Wilaya ya Ikungi - Mkoa wa Singida - Tanzania

Dung'unyi | Ighombwe | Iglansoni | Ihanja | Ikungi | Irisya | Isseke | Issuna | Iyumbu | Kikio | Kituntu | Lighwa | Makilawa | Makiungu | Mang'onyi | Mgungira | Minyughe | Misughaa | Mkiwa | Mtunduru | Muhintiri | Mungaa | Mwaru | Ntuntu | Puma | Sepuka | Siuyu | Unyahati

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Ikungi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.