Ikungi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kata ya Ikungi
Nchi Tanzania
Mkoa Singida
Wilaya Singida Vijijini
Idadi ya wakazi
 - 18,662

Ikungi ni jina la wilaya mpya ya mkoa wa Singida (Tanzania) ilioanzishwa rasmi mnamo Machi 2012, baada ya kuwa tarafa ya Wilaya ya Singida Vijijini.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,662. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-03-20.
Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ikungi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.