Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Free State

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa michezo wa Free Statet

Uwanja wa michezo wa Free State kwa sasa unatambulika kama Uwanja wa Toyota kwa masuala ya ufadhili na hapo zamani ilifahamika kama (Vodacom Park). Ni uwanja unaopatikana Bloemfontein, Afrika Kusini na unatumika mahususi kwa ajili ya mchezo wa raga na mara nyingine hutumika kwa ajili ya michezo ya soka. Ilitengenezwa mnamo mwaka 1995 kwa ajili ya kombe la dunia la raga na ilikuwa moja ya viwanja vilivyotumika kwa kombe la dunia la FIFA mwaka 2010.

Watumizi wapangaji wa msingi wa uwanja huu kwa mchezo wa raga ni wafuatao:

  • Cheetahs umoja wa raga wanao wakilisha jimbo la Free state na ghuba ya kaskazini katika mashindano ya kimataifa ya Pro14.
  • Free State Cheetahs, washiriki wa kombe la ndani la Currie.

Watumiaji (wapangaji) wa msingi wa shirikisho la mpira wa miguu katika uwanja huu ni:

  • Klabu ya Bloemfontein Celtic F.C wanaocheza ligi ya ndani ya Afrika Kusini.

Kombe la dunia la raga ya 1995

[hariri | hariri chanzo]

Ilikuwa miongoni mwa viwanja vilivyotumika kwa kombe la dunia la raga ya mwaka 1995. Mzunguko wote wa kwanza wa kundi C ulichezwa katika uwanja huu.

Tarehe Timu #1 Matokeo. Timu #2 Mzunguko Mahudhurio
27 Mei 1995Bendera ya Japani Japan10–57Bendera ya Welisi WalesKombe la Dunia la raga kundi C12,000
31 Mei 1995Bendera ya Eire Ireland50–28Bendera ya Japani JapanKombe la dunia la raga kundi C15,000
4 June 19951Bendera ya Japani Japan17–145Bendera ya New Zealand New ZealandKombe la dunia la raga kundi C17,000

Kombe la mataifa Afrika ya 1996

[hariri | hariri chanzo]

Uwanja wa michezo wa Free state ilikuwa miongoni mwa viwanja vilivyotumika kwa kombe la mataifa ya Afrika ya mwaka 1996. Mechi ya makundi sita(6) na mechi ya robo fainali zilichezwa katika uwanja huu.

Tarehe Muda (SAST) Timu #1 Matokeo Timu #2 Mzunguko Mahudhurio
14 Januari 1996Bendera ya Zambia Zambia0–0Bendera ya Aljeria AlgeriaKundi B9,000
15 Januari 1996Bendera ya Sierra Leone Sierra Leone2–1Bendera ya Burkina Faso Burkina FasoKundi B1,500
18 Januari 1996Bendera ya Aljeria Algeria2–0Bendera ya Sierra Leone Sierra LeoneKundi B1,500
20 Januari 1996Bendera ya Zambia Zambia5–1Bendera ya Burkina Faso Burkina FasoKundi B2,000
24 Januari 1996Bendera ya Zambia Zambia4–0Bendera ya Sierra Leone Sierra LeoneKundi B200
25 Januari 1996Bendera ya Ghana Ghana2–0Bendera ya Msumbiji Msumbijikundi D3,500
27 Januari 1996Bendera ya Zambia Zambia3–1Bendera ya Misri MisriRobo fainali8,500

Kombe la shirikisho la FIFA ya mwaka 2009

[hariri | hariri chanzo]

Uwanja wa Free state ulikuwa moja wapo ya viwanja vilivyotumika kwa michezo ya shirikisho la FIFA ya mwaka 2009.

Tarehe Muda (SAST) Timu #1 Matokeo Timu #2 Mzunguko Mahudhurio
15 Juni 200916:00Bendera ya Brazil Brazil4–3Bendera ya Misri MisriKundi B27,851
17 Juni 200916:00Bendera ya Hispania Hispania1–0Bendera ya Iraq IraqKundi A30,512
20 Juni 200920:30Bendera ya Hispania Hispania2–0Bendera ya Afrika Kusini Afrika KusiniKundi A38,212
24 Juni 200920:30Bendera ya Hispania Hispania0–2Bendera ya Marekani MarekaniNusu fainali35,369

Kombe la Dunia la FIFA mwaka 2010

[hariri | hariri chanzo]

Kabla ya kombe la dunia la FIFA mwaka 2010, upanuzi wa kwanza ulifanyika katika upande wa magharibi mwa uwanja na kuongeza uwezo wa kubeba mashabiki kutokea 36,538 hadi 40,911.[1]

Bloemfontein walipokea kiasi cha fedha R221 milioni kwa ajili ya kuboresha uwanja. Japo makadirio ya fedha yalikuwa R245 milioni, jiji liliamua kufidia kiasi kilichobaki.[2] Zabuni zilitangazwa mwezi Februari na Machi mwaka 2007. Maboresho yalianza Julai 2007.[3]

Tarehe Muda (SAST) Timu #1 Matokeo Timu #2 Mzunguko Mahudhurio
14 Juni 201016.00Bendera ya Japani Japan1–0Bendera ya Kamerun KamerunKundi E30,620
17 Juni 201016.00Bendera ya Ugiriki Ugiriki2–1Bendera ya Nigeria NigeriaKundi B31,593
20 Juni 201013.30Bendera ya Slovakia Slovakia0–2Bendera ya Paraguay ParaguayKundi F26,643
22 Juni 201016.00Bendera ya Ufaransa Ufaransa1–2Bendera ya Afrika Kusini Afrika KusiniKundi A39,415
25 Juni 201020.30Bendera ya Uswisi Switzerland0–0Bendera ya Honduras HondurasKundi H28,042
27 Juni 201016.00Bendera ya Ujerumani Ujerumani4–1Bendera ya Uingereza UingerezaMzunguko wa 1640,510
  1. "fussballtemple". Fussballtempel.net. Iliwekwa mnamo 2010-06-17.
  2. "Sunday Times". Sunday Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-14. Iliwekwa mnamo 2010-06-17.
  3. "Official upgrade progress report as at May 2008" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2011-07-27. Iliwekwa mnamo 2010-06-17. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Free State kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.