Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa EPRU

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Uwanja wa EPRU
Picha ya Uwanja wa EPRU

Uwanja wa michezo wa EPRU pia unafahamika kwa jina lake halisi la uwanja wa Boet Erasmus[1] ulikuwa uwanja michezo katika bandari ya Elizabeth, ghuba ya mashariki nchini Afrika Kusini. Herufi EPRU lina maana ya umoja wa raga katika jimbo la mashariki. Hapo awali, uwanja ulipewa jina la Boet Erasmus kumuenzi aliyekuwa meya wa bandari ya Elizabeth.[2] Uwanja huo ulikuwa na uwezo wa kubeba washabiki takribani 33,852 na ulitumika kimsingi kwa mchezo wa raga pia baadhi ya michezo ya soka ilichezwa katika uwanja huu.

Tarehe Timu #1 Matokeo Timu #2 Hatua ya mzunguko Mahudhurio
1960-04-30 Afrika Kusini Timu ya taifa ya raga ya Afrika Kusini 18-10 UskotiScotland Utalii wa umoja wa raga wa Scotland Afrika Kusini mwaka 1960, Mechi ya majaribio 24,000
1960-08-27 Afrika Kusini Afrika Kusini 8-3 New Zealand Mechi ya majaribio 53,000
1961-08-12 Afrika Kusini Afrika Kusini 23-11 Australia Mechi ya majaribio 26,000
1962-06-30 Eastern Province 6-21 British Lions Mechi ya utalii
1963-09-07 Afrika Kusini Afrika Kusini 22-6 Australia Mechi ya majaribio 48,600
1968-05-29 Eastern Province 14-23 British Lions Mechi ya majaribio
1968-06-22 Afrika Kusini Afrika Kusini 6-6 British Lions Mechi ya majaribio 70,000
1970-08-29 Afrika KusiniAfrika Kusini 14-3 New Zealand Mechi ya majaribio 55,000
1974-05-25 Afrika Kusini Afrika Kusini 9-26 British Lions Mechi ya majaribio 55,000
1974-06-13 Eastern Province 14-28 British Lions Mechi ya utalii
1980-05-10 Eastern Province 16-28 British Lions Mechi ya utalii
1980-06-28 Afrika Kusini Afrika Kusini 12-10 British Lions Mechi ya majaribio 45,000
1984-06-02 Afrika Kusini Afrika Kusini 33-15 England Mechi ya majaribio 46,000
1994-10-08 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini 42-22 Argentina Mechi ya majaribio 28,000
1995-06-03 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini 20-0 Canada Mechi ya majaribio 31,000
1997-05-24 Eastern Province XV 11-39 British Lions Mechi ya majaribio
1999-06-12 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini 74-3 Italia Mechi ya majaribio 35,000
2001-06-30 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini 60-14 Italia Mechi ya majaribio 35,000
2003-06-28 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini 26-25 Argentina Mechi ya majaribio 25,000
2005-06-25 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini 27-13 Ufaransa Mechi ya majaribio 35,000
2006-06-17 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini 29-15 UskotiScotland Mechi ya majaribio 25,844
Tarehe Timu #1 Matokeo Timu #2 Mzunguko Mahudhurio
2000-07-29 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini 0–1 Bendera ya Zimbabwe Zimbabwe Nusu fainali COSAFA
2003-06-14 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini 2–1 Bendera ya Trinidad and Tobago Trinidad and Tobago Mechi ya kirafiki 28,000
2006-11-12 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini 2–3 Bendera ya Senegal Senegal Mashindano ya Nelson Mandela
2008-06-01 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini 0–1 Bendera ya Nigeria Nigeria kufuzu kwa Kombe la Dunia ya mwaka 2010] 30,000
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa EPRU kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.