Elizabeti (maana)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Elizabeth)
Elizabeti ni jina la kike lenye asili katika Biblia. Marejeo yake ni Mtakatifu Elizabeti aliyekuwa mama wa Yohane Mbatizaji.
Umbo asilia katika lugha ya Kiebrania ni elisheva (אֱלִישֶֽׁבַע) lenye maana ya "Mungu anaapa" au "Mungu wa kiapo".
