Elizabeti (maana)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elizabeti ni jina la kike lenye asili katika Biblia. Marejeo yake ni Mtakatifu Elizabeti aliyekuwa mama wa Yohane Mbatizaji.

Umbo asilia katika lugha ya Kiebrania ni elisheva (‏אֱלִישֶֽׁבַע‎) lenye maana ya "Mungu anaapa" au "Mungu wa kiapo".

Watu[hariri | hariri chanzo]

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.