Tuzo za chaguo la watoto za Nickelodeon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jonas Brothers wakitumbuiza kwenye onyesho la mwaka 2009

Tuzo za chaguo la watoto za Nickelodeon '(pia hujulikana kama KCAs au Chaguo la watoto) ni onyesho la sherehe ya watoto ya Marekani ya mwaka ambayo ilianzishwa na Nickelodeon. Kwa kawaida hufanyika Jumamosi usiku mwishoni mwa Machi au mwanzoni mwa Aprili. Washindi wanapokea sanamu yenye rangi ya machungwa[1].

Tamasha linaonyesha wageni mashuhuri na wanamuziki. Tangu 2002, foleni za mchango zimeingizwa kwenye onyesho. KCA pia zinafanya burudani ya moja kwa moja.

Vipindi vya Spongebob SquarePants vimeshinda tuzo nyingi za KCA, jumla za tuzo ni kumi na sita mfururizo. Binafsi, Selena Gomez ameshinda mataji mengi zaidi ya kumi na moja, akifuatiwa na Will Smith na Adam Sandler. Whoopi Goldberg ndiye mtu pekee aliyepata tuzo ya Chaguo la Watoto, pamoja na mchanganyiko wa [http://"EGOT" "EGOT"] wa Emmy, Grammy, Oscar, na Tony. Rosie O'Donnell ameshiriki onyesho mara nyingi, na kufuatiwa na Jack Black, na John Cena .

Historia[hariri | hariri chanzo]

Alan Goodman, Albie Hecht, na Fred Seibert walitengeneza onesho la tuzo baada ya Nickelodeon kutengeneza sehemu inayoitwa The Big Ballot[2][3][4][5][6][7] kwa ajili ya onyesho kupitia filamu iliyoandaliwa kwaajili ya watoto wenye umri mdogo mnamo mwaka 1987, jina lake lilichaguliwa kutokana na watoto waliopiga kura. Ili kupiga kura, watazamaji watatuma karatasi za kura na kisha kabla ya onyesho, karatasi za kura zitahesabiwa na washindi wataonyesha video. Goodman, Hecht, na Seibert walihisi kwamba wanahitaji mfumo mkubwa zaidi wenye kusisimua zaidi.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Larsen, Peter. "Kids' Choice Awards grow up; The Nickelodeon celebration of burps and slime has become a star-studded affair.", Orange County Register, 30 March 2007. Retrieved on 25 September 2011. 
  2. "Nickelodeon lowering the voting age", March 8, 1987, p. T/30. 
  3. "Kids Vote for 'Karate Kid II'", March 28, 1987, p. 10. 
  4. Painter, Virginia. "Kids Like Cos", April 6, 1987, p. 01.D. 
  5. "Stamberg Never Rests on Sunday", April 7, 1987. 
  6. Wong Briggs, Tracey. "Monkee Business", April 13, 1987, p. 01.D. 
  7. Kigezo:Cite AV mediaKigezo:Cbignore

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tuzo za chaguo la watoto za Nickelodeon kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.