Tuzo za chaguo la watoto za Nickelodeon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tuzo za chaguo la watoto za Nickelodeon '(pia hujulikana kama KCAs au Chaguo la watoto) ni onyesho la sherehe ya watoto ya Marekani ya mwaka ambayo ilianzishwa na Nickelodeon. Kwa kawaida hufanyika Jumamosi usiku mwishoni mwa Machi au mwanzoni mwa Aprili. Washindi wanapokea sanamu yenye rangi ya machungwa[1].

Tamasha linaonyesha wageni mashuhuri na wanamuziki. Tangu 2002, foleni za mchango zimeingizwa kwenye onyesho. KCA pia zinafanya burudani ya moja kwa moja.

Vipindi vya Spongebob SquarePants vimeshinda tuzo nyingi za KCA, jumla za tuzo ni kumi na sita mfururizo. Binafsi, Selena Gomez ameshinda mataji mengi zaidi ya kumi na moja, akifuatiwa na Will Smith na Adam Sandler. Whoopi Goldberg ndiye mtu pekee aliyepata tuzo ya Chaguo la Watoto, pamoja na mchanganyiko wa [http://"EGOT" "EGOT"] wa Emmy, Grammy, Oscar, na Tony. Rosie O'Donnell ameshiriki onyesho mara nyingi, na kufuatiwa na Jack Black, na John Cena .

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]