Simo
Jump to navigation
Jump to search
Simo (kutoka Kiajemi; pia: msimu) ni neno linaloibuka katika lugha ya wanajamii na kutumiwa na watu katika kuongea, kisha huweza ama kupotea ama kubaki katika msamiati rasmi wa lugha ya jamii husika.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Simo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |