Simeoni Mweusi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Simeoni aitwaye Nigeri)
Simeoni Mweusi (au Simeoni Nigeri) alikuwa nabii na kiongozi mmojawapo wa Kanisa la kwanza huko Antiokia, jiji la Siria katika Dola la Roma (leo nchini Uturuki).
Katika kutoa taarifa hiyo, Luka mwinjili (Mdo 13:1) anaeleza kwamba alikuwa mmoja kati ya watano, wakiwemo Barnaba na Paulo.
Kanisa la Antiokia lilianzishwa na Wakristo wenye asili ya Kiyahudi lakini wa lugha ya Kigiriki, waliotawanyika baada ya dhuluma iliyoanza kwa kifodini cha Stefano mjini Yerusalemu (Mdo. 11:19-24).
Inawezekana kwamba Simeoni alikuwa mmojawao.
Anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Simeoni Mweusi kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |