Mjusi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Sauria)
Mjusi | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mjusi madoa-macho (Chalcides ocellatus)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Kladi zinazokubaliwa: |
Mijusi ni wanyama watambaachi katika oda Squamata ya ngeli Reptilia. Spishi nyingi sana zina miguu minne, lakini kuna spishi nyingine zilizopoteza miguu miwili au miguu yote. Urefu wa mijusi unaanzia kutoka sm kadhaa (spishi ndogo za kinyonga na mjusi-kafiri) hadi m 3 (joka wa Komodo).
Mijusi hula nyama, spishi ndogo hula wadudu na spishi kubwa hula vertebrata pia mpaka joka wa Komodo anayekula wanyama hadi ukubwa wa nyati-maji. Hata hivyo spishi nyingi hula mimea na/au matunda pia.
Mwainisho
[hariri | hariri chanzo]- Nusuoda: Lacertilia (au Sauria)
- Oda ya chini: Anguimorpha
- Familia: Anguidae
- Familia: Anniellidae
- Familia: Helodermatidae
- Familia: Lanthanotidae
- Familia: Shinisauridae
- Familia: Varanidae (Kenge)
- Familia: Xenosauridae
- Oda ya chini: Gekkota (Mijusi-kafiri)
- Familia: Carphodactylidae
- Familia: Diplodactylidae
- Familia: Eublepharidae
- Familia: Gekkonidae
- Familia: Phyllodactylidae
- Familia: Pygopodidae
- Familia: Sphaerodactylidae
- Nusuoda: Iguania
- Familia: Agamidae (Balabala)
- Familia: Chamaeleonidae (Vinyonga)
- Familia: Corytophanidae
- Familia: Crotaphytidae
- Familia: Dactyloidae
- Familia: Hoplocercidae
- Familia: Iguanidae (Iguana)
- Familia: Leiocephalidae
- Familia: Leiosauridae
- Familia: Liolaemidae
- Familia: Opluridae (Iguana wa Madagaska)
- Familia: Phrynosomatidae
- Familia: Polychrotidae
- Familia: Tropiduridae
- Familia ya juu: Lacertoidea
- Familia: Amphisbaenia (Mijusi-nyungunyungu)
- Familia: Gymnophthalmidae
- Familia: Lacertidae
- Familia: Teiidae
- Oda ya chini: Scincomorpha
- Familia: Cordylidae
- Familia: Gerrhosauridae (Guruguru)
- Familia: Scincidae (Mijusi-islam, Magonda)
- Familia: Xantusiidae
- Oda ya chini: Anguimorpha
Spishi kadhaa za Afrika ya Mashariki
[hariri | hariri chanzo]- Acanthocercus atricollis, Balabala-miti Kichwa-buluu (Black-necked agama)
- Agama lionotus, Balabala Kichwa-chekundu (Kenyan rock agama)
- Chamaeleo gracilis, Kinyonga Mwembamba (Graceful chameleon)
- Cnemaspis africana, Mjusi-misitu wa Usambara (African gecko)
- Gerrhosaurus major, Guruguru Mkubwa (Sudan plated lizard)
- Hemidactylus brookii, Mjusi-nyumba wa Brook (Brooke's house gecko)
- Hemidactylus mabouia, Nikwata au Mjusi-nyumba (Tropical house gecko)
- Hemidactylus platycephalus, Mjusi-kafiri Miti (Tree gecko)
- Hemidactylus squamulatus, Mjusi-kafiri Nyika (Nyika gecko)
- Kinyongia excubitor, Kinyonga wa Mlima Kenya (Mount Kenya sentinel chameleon)
- Kinyongia vosseleri, Kinyonga Pembe-mbili wa Usambara (East Usambara two-horned chameleon)
- Latastia longicaudata, Mjusi Mkia-mrefu (Southern long-tailed lizard)
- Lygodactylus capensis, Mjusi-kafiri Mdogo wa Tanzania (Cape dwarf gecko)
- Lygodactylus keniensis, Mjusi-kafiri Mdogo wa Kenya (Kenya dwarf gecko)
- Melanoseps longicaudata, Mjusi Bila-miguu Mkia-mrefu (Long-tailed limbless skink)
- Mochlus afer, Mjusi-finginyika Mweusi (Peter's writhing skink)
- Stenodactylus sthenodactylus, Mjusi-kafiri mufti (Elegant gecko)
- Trachylepis brevicollis, Gonda Shingo-fupi (Short-necked skink)
- Trachylepis striata, Gonda Milia (African striped skink)
- Varanus niloticus, Mburukenge (Nile monitor)
- Varanus ornatus, Kenge-misitu (Ornate monitor)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Anguimorpha/Varanidae (Mburukenge Varanus niloticus)
-
Gekkota/Gekkonidae (Nikwata Hemidactylus mabouia)
-
Iguania/Chamaeleonidae (Kinyonga shingo-lisani Chamaeleo dilepis)
-
Lacertoidea/Lacertidae (Mjusi-misitu wa Jackson Adolfus jacksoni)
-
Scincomorpha/Gerrhosauridae (Guruguru mkubwa Gerrhosaurus major)
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mjusi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |