Mjusi-kafiri
Mandhari
Mjusi-kafiri | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Nikwata (Hemidactylus frenatus)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Familia 7:
|
Mijusi-kafiri ni mijusi wa oda ya chini Gekkota wasio na kope (isipokuwa familia Eublepharidae) na wanaokiakia usiku (isipokuwa mijusi-kafiri mchana). Spishi zinazoishi katika nyumba za watu huitwa nikwata pia.
Mijusi hawa ni kundi lenye spishi nyingi kuliko makundi mengine: takriban spishi 1500, nyingi katika Afrika.
Spishi zilizochaguliwa za Afrika ya Mashariki
[hariri | hariri chanzo]- Chondrodactylus turneri, Mjusi-kafiri Vidole-vinene wa Turner (Turner's thick-toed gecko)
- Cnemaspis africana, Mjusi-misitu wa Usambara (African gecko)
- Elasmodactylus tuberculosus, Mjusi-kafiri Vidole-vinene sugu (Warty thick-toed gecko)
- Hemidactylus frenatus, Nikwata au Mjusi-kafiri Nyumbani wa Kawaida (Common house gecko)
- Holodactylus africanus, Mjusi-kafiri Kucha (African clawed gecko)
- Homopholis fasciata, Mjusi-mahameli Mabaka (Banded velvet gecko)
- Lygodactylus keniensis, Mjusi-kafiri Mdogo wa Kenya (Kenyan dwarf gecko)
- Phelsuma dubia, Mjusi-kafiri Mchana Kijani (Dull-green day gecko)
- Pristurus crucifer, Mjusi-mchanga Msalaba (Cross-marked sand gecko)
- Urocotyledon wolterstorffi, Mjusi-kafiri wa Wolterstorff (Wolterstorff's gecko)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Carphodactylidae (Carphodactylus laevis)
-
Diplodactylidae (Diplodactylus damaeum)
-
Eublepharidae (Hemitheconyx caudicinctus, Mjusi-kafiri mkia-mnono)
-
Gekkonidae (Hemidactylus brookii, Nikwata madoadoa)
-
Phyllodactylidae (Ptyodactylus hasselquistii, Mjusi-kafiri miguu-upepeo)
-
Pygopodidae (Pygopus lepidopodus)
-
Sphaerodactylidae (Quedenfeldtia trachyblepharus, Mjusi-kafiri mchana wa Atlasi)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Spawls, S., Howell, K., Drewes, R. & Ashe, J. (2002) A field guide to the Reptiles of East Africa. Academic Press, San Diego, CA, USA.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Hazinadata ya watambaachi
- Kinyesi cha Mjusi-kafiri ikilinganishwa na vinyesi za wanyama wengine na madhara yake kwa binadamu
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mjusi-kafiri kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |