Roger Dubuis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kampuni ya Roger Dubuis Geneva, Uswisi

Roger Dubuis ni kampuni ya kutengeneza saa za anasa kwa wanawake na wanaume huko Geneva, Uswisi.

Kampuni hii ilianzishwa na Roger Dubuis na Carlos Dias mwaka 1995. Mwaka 2008 kampuni hii ilichukuliwa na kampuni ya Richemont. [1]

Zile za Roger Dubuis ni saa zinazotengenezwa kwa kuchanganya mitindo ya asili na ubunifu wa pekee unaojionyesha zaidi kwenye matoleo ya Excalibur and Velvet.[2]

Hivi karibuni kampuni hii imekuwa ikitengeneza saa zinazotokana na michezo ya magari kwa ushirikiano na kampuni za Lamborghini Squadra Corse na Pirelli.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roger Dubuis kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.