Odrani
Mandhari
Odrani (pia: Oran, Odran, Odhrán, Otteranus; County Meath, karne ya 6 - Iona, 563 hivi) alikuwa mmonaki wa Ireland, mmoja kati ya wanafunzi wa kwanza wa Kolumba katika kisiwa cha Iona, Uskoti [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Oktoba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Farmer, David Hugh (1987). The Oxford Dictionary of Saints. Oxford University Press, Oxford. New York. 2nd Edition. ISBN 0-19-869149-1
- M. MacLeod Banks, A Hebridean Version of Colum Cille and St. Oran, in "Folklore" 42 (1931), pp. 55–60.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |