Nile nyeupe, Sudan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya jimbo la Nile nyeupe

Nile nyeupe ni jimbo la Sudan. Lina eneo la km2 39,701 na wakazi 1,140,694 hivi (2008).

Tangu mwaka 1994 Rabak ni makao makuu ya jimbo; miji mingine muhimu ni Kosti na Ed Dueim.

Jimbo limegawanyika katika wilaya nne.

Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nile nyeupe, Sudan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.