Kordofan Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Kurdufan Kusini

Kordofan Kusini ni mojawapo kati ya majimbo 18 ya Sudan.

Eneo lake ni kilomita za mraba 158,355 na mwaka 2010 wakazi milioni 2.5 zilihesabiwa hapa. Mji mkuu ni Kadugli.

Sehemu kubwa ya mashariki ya jimbo ni Milima ya Nuba ambayo ni nyumbani ya Wanuba.

Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kordofan Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.