Darfur Kusini
Jump to navigation
Jump to search
Majiranukta kwenye ramani: 11°31′N 25°2′E / 11.517°N 25.033°E

Mahali pa Kusini Darfur katika Sudan
Darfur Kusini (Kiarabu: جنوب دارفور; ambayo inatafsiriwa kutoka: Janob Darfor) ni mojawapo wa wilayat majimbo 26 ya Sudan. Ni mojawapo wa majimbo matatu yanayojumuisha eneo la Darfur magharibi mwa Sudan. Lina ukubwa wa eneo la kilomita mrba 127,300 na idadi ya watu inayokadiriwa kuwa 2,890,000 (2006). Nyala ndio mji mkuu wake. Kwa hakika, Darfur ndilo jimbo kubwa zaidi nchini Sudan.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Historia ya Darfur Kusini ni sawa na ile ya Darfur.
Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]
- Kurdufan -eneo mkabala.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Darfur Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |