Nenda kwa yaliyomo

Bahari ya Shamu, Sudan

Majiranukta: 19°35′N 35°37′E / 19.583°N 35.617°E / 19.583; 35.617
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Bahari ya Shamu katika Sudan

Bahari ya Shamu (kwa Kiarabu: البحر الأحمر, al-Bahr al-Ahmar) ni moja ya Wilayat au majimbo 18 ya Sudan.

Lina ukubwa wa eneo la km² 218,887 na wakazi wanaokadiriwa kuwa 700,000 (2000).

Port Sudan ndio mji mkuu wa jimbo hili.

Sudan bado inadai, lakini haina udhibiti katika Pembetatu ya Hala'ib, ambayo imekuwa chini ya utawala wa Misri tangu mwaka 1994. 19°35′N 35°37′E / 19.583°N 35.617°E / 19.583; 35.617

Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Shamu, Sudan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.