Darfur Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Darfur Kaskazini, Sudan

Coordinates: 16°4′N 25°28′E / 16.067°N 25.467°E / 16.067; 25.467


Ramani ya Darfur Kaskazini

Darfur Kaskazini (kwa Kiarabu: شمال دارفور‎, Shamal Darfor) ni mojawapo ya wilayat au majimbo 18 ya Sudan. Ni mojawapo ya majimbo yanayojumuisha kanda ya Darfur.

Lina ukubwa wa eneo wa km² 296,420 na idadi ya wakazi wake inakadiriwa kuwa 1,583,000 (2006). Al-Fashir ndio mji mkuu wake. Miji mingine muhimu ni pamoja na miji ya Kutum na Tawila.

Historia ya Darfur Kaskazini ni sawa na ile ya Darfur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Darfur Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.