Kassala (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kigezo:Makala ya mbegu yasiyo onyesha marejeo Majiranukta kwenye ramani: 15°45′N 35°43′E / 15.75°N 35.717°E / 15.75; 35.717

Kassala


Kassala ni mojawapo ya Wilayat 26 (majimbo) ya Sudan. Lina ukubwa wa eneo la 36,710 km ² na idadi ya wakaazi wake inakadiriwa kuwa 1,400,000 (2000). Kassala ndio mji mkuu wa jimbo hili; miji mingine katika Kassala ni pamoja na Aroma, Hamishkoreb, Khor na Telkok].

Katika miaka ya 1990 jimbo lilitwa "ash-sharqiya" (mashariki).