Muskat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jiji la Muskat

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Omani" does not exist.Mahali pa mji wa Muskat katika Omani

Majiranukta: 23°36′31″N 58°35′31″E / 23.60861°N 58.59194°E / 23.60861; 58.59194
Nchi Omani
Mkoa Maskat
Bandari ya Mutrah mjini Maskat
Boma la Jalali mjini Maskat

Maskat (Kiarabu: مسقط) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Omani. Mji una takriban wakazi 650,000.

Maskat ina historia ndefu. Tangu karne ya pili ulijulikana kama bandari ya biashara ya kimataifa hasa ya uvumba.

1507 ilivamiwa na Wareno waliokaa hadi kufukuzwa mwaka 1649 na Sultani bin Saif. Baadaye mji ulishambuliwa na Waajemi pia na Waarabu Wahabiyya lakini Sultani Sayyid Said alifaulu kutetea utawala wake. Sayyid Said alihamisha baadaye mji mkuu wake kwenda Zanzibar. Tangu wakati ule mji ulirudi nyuma.

Serikali ya Sultani Qaboos bin Said iliweza kuboresha maisha ya wananchi tangu 1970 hasa kutokana na mapato ya mafuta ya petroli. Mji wa Maskat ulianza kukua na kupanuka sana

Map of Asian states.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Muskat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: