Mto Sor
Mandhari
Mto Sor unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia (Jimbo la Oromia).
Ni tawimto la mto Gebba, ambalo ni tawimto la mto Baro ambao kwa kuungana na mto Pibor unaunda mto Sobat, tawimto la Nile Nyeupe.