Mto Nyamwamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Nyamwamba unapatikana katika wilaya ya Kasese, magharibi mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika ziwa Dweru, ziwa Edward, mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]