Mto Dipa
Mandhari
Mto Dipa unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia (Jimbo la Oromia).
Ni tawimto la mto Birbir, unaochangia mto Baro ambao kwa kuungana na mto Pibor unaunda mto Sobat, tawimto la Nile Nyeupe.