Mto Angereb
Mandhari
Mto Angereb (au Angereb Mkubwa au Bahr as-Salam) unapatikana Ethiopia na mashariki mwa Sudan na ni tawimto la mto Atbarah unaoishia katika Nile.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Angereb kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |