Mlengo
Jump to navigation
Jump to search
Katika utarakilishi, mlengo (kwa Kiingereza: focus) ni kitendo cha kuchagua elementi moja katika kiolesura michoro cha mtumiaji ili matini yanayoingizwa kwenye baobonye yatumwe katika dirisha amilifu.
Katika Windows, mlengo unafanyika kwa kubofya dirisha. Mlengo ni dhana sawa ya kionyeshi kwenye mazingira ya kichakata matini.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).