Kiolesura michoro cha mtumiaji
Katika utarakilishi, kiolesura michoro cha mtumiaji (kwa Kiingereza: graphic user interface) ni nafasi ambapo mtumiaji anaweza kuingilia tarakilishi yake kwa kipanya na skrini.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).