Kionyeshi (tarakilishi)
Kwenye kiwambo, kionyeshi (kwa Kiingereza: text cursor) ni kielekezi kinachoonyesha pahali pa maingiliano kati ya mtumiaji na tarakilishi.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.